Huduma Zetu
Kuelimisha Umma kuhusu Maendeleo na Matumizi ya Kiswahili kupitia Vyombo vya Habari
Huduma hii hutolewa kupitia vipindi vya redio na televisheni vinavyoandaliwa na Baraza la Kiswahili la Taifa.
Vipindi hivyo ni kama vifuatavyo:-
- Vipindi vya Redio
- "Lugha ya Taifa" kinachotangazwa na TBC Taifa
- "Kumepambazuka" kinachotangazwa na Radio One
- Vipindi vya Televisheni
- "Ulimwengu wa Kiswahili" kinachotangazwa na TBC1
