Kitengo cha Masoko na Uhusiano na Umma

Majukumu ya kitengo hiki ni kama ifuatavyo:

  1. Kuanzisha na kutekeleza mikakati ya masoko;
  2. Kutangaza na kuuzabidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na Baraza;
  3. Kuhifadhi kumbukumbu za matukio yote ya Baraza;
  4. Kupitia na kuhuisha taarifa katika tovuti na majukwaa ya mitandao yote ya kijamii;
  5. Kupokea maswali, maombi na maoni kutoka kwa wadau mbalimbali; na
  6. Kufanya utafiti wa masoko ya bidhaa na huduma zinazotolewa na Baraza.