Kurugenzi ya Huduma za Baraza
Majukumu ya msingi ya Kurugenzi hii ni kusimamia masuala ya fedha na rasilimaliwatu, kutoa huduma za kiutawala na kuratibu masuala ya mipango, uendeshaji na tathmini.