Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Majukumu ya kitengo hiki ni:
- Kuandaa mpango wa ukaguzi wa ndani wa Baraza ;
- Kuunda na kusimamia utekelezaji wa sera za ukaguzi wa ndani;
- Kupendekeza maboresho ya utendaji kazi wa ndani ya Baraza na
- Kufanya ukaguzi wa ndani katika maeneo yote ya shughuli za Baraza.
- Kushirikiana na Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali wakati wa ukaguzi;
- Kusimamia upatikanaji wa majibu ya hoja za ukaguzi.
