Sehemu ya Uhasibu

Majukumu ya Sehemu ya Uhasibu ni: 

  1. Kukusanya na kusimamia mapato;
  2. Kufanya upatanisho wa Kibenki;
  3. Kuandaa Hesabu za Mwaka na Taarifa zingine za Kifedha;
  4. Kushughulikia miamala ya fedha taslimu  na hundi;
  5. Kuweka kumbukumbu/kufanya upatanisho wa masurufu yote yanayotolewa;
  6. Kujibu hoja za ukaguzi;
  7. Kutoa taarifa ya mapato na matumizi ya Baraza kwa mwezi, robo, nusu na mwaka;
  8. Kusimamia maandalizi ya kumbukumbu zote za hesabu na kuhakikisha kuwa zimewasilishwa mahali husika;
  9. Kuandaa na kupitia kanuni za kifedha; na