Category Title

  • Hakuna Taarifa kwa sasa
  • Hakuna Taarifa kwa sasa

Kurugenzi ya Maendeleo na Matumizi ya Kiswahili

Majukumu ya msingi ya Kurugenzi hii ni kuratibu na kusimamia shughuli za ukuzaji wa lugha ya Kiswahili na matumizi yake kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na taratibu za Baraza.