KAULIMBIU:  Kiswahili - Mhimili wa Umoja, Maendeleo ya Elimu na Uchumi.Karibu Katika Tovuti Rasmi ya BAKITA

Karibu katika tovuti rasmi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA). Baraza hili ni taasisi ya Umma chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambayo inasimamia shughuli za ukuzaji wa Kiswahili nchini na kuratibu maendeleo yake nchi za nje. Baraza liliundwa kwa sheria ya Bunge Na.27 ya mwaka 1967 na kufanyiwa marekebisho mwaka 1983.

Huduma Zitolewazo na BAKITA

Katika kutekeleza madhumuni na majukumu ya Baraza yaliyotajwa katika utangulizi, huduma zifuatazo hutolewa kwa umma:

Kutoa ithibati ya lugha

Ushauri kwa wanafunzi na watafiti

Huduma za Tafsiri na Ukalimani

Usambazaji wa Istilahi za Kiswahili

Vitabu Vilivyowekwa Hivi Karibuni

image
Istilahi za Kiswahili

Bei:Tsh. 8,000/=

Angalia Zaidi

image
Kiswahili na Utandawazi

Bei:Tsh. 4,000/=

Angalia Zaidi

image
Tafsiri Sanifu

Bei:Tsh. 3,000/=

Angalia Zaidi

image
Kamusi kuu ya Kiswahili

Bei:Tsh. 25,000/=

Angalia Zaidi

image
Kiswahili kwa Wageni

Bei:Tsh. 15,000/=

Angalia Zaidi

image
Mwongozo kwa waandishi wa Kiswahili Sanifu

Bei:Tsh.6000/=

Angalia Zaidi