Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
Majukumu ya kitengo hiki ni:
- Kuandaa na kutekeleza mipango ya mwaka ya ununuzi na ugavi. ;
- Kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za ununuzi na ugavi Serikalini;
- Kusimamia mchakato wa zabuni kwa kufuata taratibu zilizopo; na
- Kutoa taarifa za ununuzi za vipindi mbalimbali ; na
- Kuandaa orodha ya vifaa vya ofisi.
