Kitengo cha Maktaba naUhifadhi wa Nyaraka

Majukumu ya kitengo hiki ni kama ifuatavyo: -

  1. Kutunza kaseti, magazeti, video, na filamu za Kiswahili;
  2. Kuwasaidia watafiti na wanafunzi wa lugha ya Kiswahili;
  3. Kuandaa na kusimamia taarifa, sera na taratibu za maktaba; na
  4. Kuanzisha na kusimamia utumiaji wa Mfumo wa Taarifa za Maktaba pamoja na huduma zake.