Dira na Dhamira
Dira
Kuwa taasisi yenye nguvu kisheria na kiuchumi, na kutambulika kitaifa na kimataifa katika kuratibu na kusimamia maendeleo ya lugha ya Kiswahili.
Dhima
Kukuza, kuendeleza na kuhimiza matumizi ya Kiswahili sanifu na fasaha ndani na nje ya nchi kwa kushirikiana na wadau wengine.
