Huduma Zetu
Ushauri wa Uandishi wa Kiswahili kwa Waandishi Chipukizi
Baraza hupitia maandiko yaliyoandikwa au kutafsiriwa na waandishi chipukizi baada yakupokea maombi maalumu kutoka kwao, kazi hii hufanywa kwa lengo la kuchunguza ufasaha wa lugha na hatimaye kuwapa ushauri.
