Kuratibu na kusimamia shughuliza ukuzaji wa lugha ya Kiswahili na matumizi yake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Baraza
Kusimamia masuala ya fedha na rasilimaliwatu, kutoa huduma za kiutawala na kuratibu masuala ya mipango, uendeshaji na tathmini.