Sehemu ya Utumishi na Utawala
Majukumu ya Sehemu hii ni kama ifuatavyo:
-
Kutafsiri sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali ya huduma na kushauri utekelezaji wake
-
Kuandaa na kutoa mafunzo kwa watumishi
-
Kuandaa na kusimamia maslahi ya watumishi
-
Kusimamia mipango ya mafao na fidia kwa watumishi
-
Kuratibu uundaji na utendaji kazi wa Baraza la Wafanyakazi
-
Kusimamia masuala ya nidhamu mahali pa kazi
-
Kutoa huduma na msaada wa kisheria
-
Kutunza nyaraka zote za kisheria za Baraza
-
Kusimamia tafiti za kisheria na kuushauri vyema utawala wa Baraza