KAULIMBIU:  Kiswahili - Mhimili wa Umoja, Maendeleo ya Elimu na Uchumi.

Dira na Dhamira za Baraza la Kiswahili la Taifa


Dira


BAKITA linakuwa taasisi yenye nguvu kisheria na kifedha na iheshimikayo kitaifa, kikanda na kimataifa katika kuratibu, kusimamia na kukuza maendeleo ya Kiswahili.

"


Dhamira


1. Kusimamia na kuratibu kwa ufanisi mkubwa maendeleo na matumizi ya Kiswahili nchini Tanzania.
2. Kushiriki kikamilifu na kwa ufanisi katika kustawisha Kiswahili Afrika Mashariki, Afrika na duniani kote.